Tumgik
matokeochanya · 4 years
Text
WAZIRI SIMBACHAWENE AKUTANA NA MWAKILISHI MKUU WA UNHCR NCHINI
Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR)nchini, Antonio Canhandula akizungumza masuala mbalimbali yanayohusu wakimbizi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), wakati mwakilishi huyo alivyofika ofisini kwa waziri, jijini Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akimsindikiza Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Umoja wa…
View On WordPress
0 notes
matokeochanya · 4 years
Text
TAHLISO YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA MIRADI JIJINI DODOMA
Mwenyekiti TAHLISO  Ndg. Peter Niboye akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mjini Patrobas Katambi
Kamati Kuu Tendaji ya Taasisi ya Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya Juu Nchini (TAHLISO) imefanya Ziara ya Kutembelea Miradi Mbalimbali ya Maendeleo Jijini Dodoma, katika Ziara hiyo ya Mafunzo iliyofanyika tarehe 29 Machi, 2020 ambapo iliogozwa na  Mwenyekiti Ndg. Peter Niboye wametembelea miradi mikubwa…
View On WordPress
0 notes
matokeochanya · 4 years
Text
TAASISI YA TIBA YA MIFUPA (MOI) YAPOKEA MSAADA WA VIUNGO BANDIA KUTOKA KAMPUNI YA EAA YA JAPAN
Kampuni ya EAA Co. Ltd ya nchini Japan inayojishughulisha na utengenezaji wa viungo bandia imetoa msaada wa viungo bandia vyenye thamani ya Shilingi milioni 80.9 kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI)  Jijini Dar es Salaam. Kampuni ya EAA Co. Ltd ya nchini Japan inayojishughulisha na utengenezaji wa viungo bandia imetoa msaada wa viungo bandia vyenye thamani ya Shilingi milioni 80.9 kwa Taasisi ya…
View On WordPress
0 notes
matokeochanya · 4 years
Text
ENDELEENI KUTOA ELIMU KWA WANANCHI - NAIBU WAZIRI DKT.NDUGULILE
ENDELEENI KUTOA ELIMU KWA WANANCHI – NAIBU WAZIRI DKT.NDUGULILE
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amewaasa Wataalamu wa Sekta ya Afya kuendelea kutoa Elimu kwa Wananchi kuhusu maambukizi ya ugonjwa wa Corona.
Ameyasema hayo leo wakati wa ziara yake ya kukagua hali ya utayari wa kupambana dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona endapo utaingia Jijini Dodoma katika maeneo yote yaliyopangwa.
Naibu Waziri…
View On WordPress
0 notes
matokeochanya · 4 years
Text
MABULA ATAKA MALIPO YA KODI YA PANGO LA ARDHI KWA MITANDAO YA SIMU 
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka wamiliki wa ardhi wanaotaka kilipia kodi ya pango la ardhi kufanya hivyo kupitia mitandao ya simu za viganjani ili kuepuka misongamano inayoweza kuchangia maambukizi ya virusi vya Corona.
Dkt Mabula alitoa tahadhari hiyo juzi wilayani Bariadi mkoani Simiyu alipozungumza na Wakurugenzi na Watendaji wa sekta ya ardhi…
View On WordPress
0 notes
matokeochanya · 4 years
Text
WAZIRI MPINA ASHTUKIA UPIGAJI WA BILIONI 2.6 UJENZI MAABARA YA UVUVI, AAGIZA TAKUKURU KUFANYA UCHUNGUZI
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amesimamisha malipo yote kwa Mkandarasi wa Kampuni ya Petra Construction co. Limited inayojenga maabara ya kisasa ya Taasisi ya Uvuvi Tanzania (TAFIRI) kituo cha Dar es Salaam hadi uhakiki wa gharama halisi za mradi huo utakapo kamilika baada ya kubaini kuwepo matumizi mabaya ya fedha za umma kiasi cha shilingi bilioni 2.6
Hivyo Waziri Mpina ameunda tume ya…
View On WordPress
0 notes
matokeochanya · 4 years
Text
NAIBU WAZIRI MABULA ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA MARA
Jengo la hospitali ya Rufaa mkoa wa Mara lililopo eneo la Kwangwa Musoma likiwa katika hatua za ukamilishaji
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara iliyoko Kwangwa Musoma unaogharimu takriban Bilioni 15.082.
Dkt Mabula aliridhishwa na kasi ya mradi wa ujenzi wa hospitali hiyo alipokwenda…
View On WordPress
0 notes
matokeochanya · 4 years
Text
VITENDO VYA RUSHWA MARUFUKU NA KILA JAMBO LICHUKULIWE KWA UMUHIMU NA UZITO MKUBWA SANA - RC WANGABO
VITENDO VYA RUSHWA MARUFUKU NA KILA JAMBO LICHUKULIWE KWA UMUHIMU NA UZITO MKUBWA SANA – RC WANGABO
Katika hali ya kupambana na maambukizi ya ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona, Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewataka maafisa uhamiaji pamoja na watumishi wengine katika bandari za mkoa huo pamoja na mpaka wa nchi kavu kuacha tabia ya kupokea rushwa kutoka kwa wageni hasa katika kipindi hiki ambacho ni hatari kwa nchi.
Wangabo amewataka watumishi hao kufanya kazi kwa uadilifu…
View On WordPress
0 notes
matokeochanya · 4 years
Text
NHC YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI JENGO LA KITEGA UCHUMI MUTUKULA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi DkT Angeline Mabula amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kukamilisha haraka mradi wake wa ujenzi wa Jengo la Kitega Uchumi lililopo mpaka wa Tanzania na Uganda eneo la Mutukula wilaya ya Misenyi mkoani Kagera ili kuliwezesha shirika kupata faida kupitia jengo hilo.
Dkt Mabula alitoa agizo hilo juzi wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa…
View On WordPress
0 notes
matokeochanya · 4 years
Text
UJENZI WA CHELEZO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 96
Muonekano wa hatua ya chelezo Muonekano wa hatua ya chelezo Katibu Mkuu Sekta ya Uchukuzi, Dkt. Eng. Leonard Chamuriho wa katikatia kizungumza wakati akikagua maendeleo ya miradi hiyo na kuridhishwa na maendeleo yake alipotembelea mwishoni mwa wiki Katibu Mkuu Sekta ya Uchukuzi, Dkt. Eng. Leonard Chamuriho wa katikatiaki akitoa maelekezo wakati akikagua maendeleo ya miradi hiyo na kuridhishwa na…
View On WordPress
0 notes
matokeochanya · 4 years
Text
WAZIRI WA NISHATI AMEWATAKA WAKANDARASI WANAOSAMBAZA UMEME VIJIJINI KUKAMILISHA MIRADI KWA WAKATI
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi ya usambazaji wa umeme vijijini, kujikinga na kuchukuwa tahadhari dhidi ya virusi vya Corona ili kuendelea kutekeleza miradi hiyo na kuikamilisha kwa wakati unaotakiwa kwa mujibu wa mikataba.
Dkt. Kalemani alisema hayo, Machi 26, 2020, wakati wa akiwasha umeme katika Kituo cha Afya cha Bwina,kuwasha taa za…
View On WordPress
0 notes
matokeochanya · 4 years
Text
KATIBU MKUU KANALI IBUGE AKUTANA NA BALOZI WA VIETNAM NCHINI
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Kanali Wilbert Augustine Ibuge akizungumza na Balozi wa Vietnam nchini Mhe. Nguyen Kim Doanh Wizarani Dodoma na kuzungumzia kampuni ya simu ya mkononi ya Halotel inayoendesha shughuli zake nchini Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Kanali Wilbert Augustine Ibuge…
View On WordPress
0 notes
matokeochanya · 4 years
Photo
Tumblr media
RAIS MAGUFULI AMEMTEUA BRIG. JEN. JOHN MBUNGO KUWA MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU Rais  Dkt. John Magufuli  amepokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (
0 notes
matokeochanya · 4 years
Text
BALOZI KANALI IBUGE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAIMU BALOZI WA PAKISTAN
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge akimsikiliza Kaimu Balozi wa Pakistan nchi Bw. Mohammad Saleem walipo kutana kwa mazungumzo katika Ofisi za Wizara jijini Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge akimsikiliza Kaimu Balozi wa Pakistan nchi Bw. Mohammad Saleem…
View On WordPress
0 notes
matokeochanya · 4 years
Video
youtube
LIVE: HAFLA YA MAKABIDHIANO YA RIPOTI YA CAG NA TAKUKURU – IKULU CHAMWINO Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Machi, 2020 atapokea taarifa ya CAG ya mwaka 2018/19 na Taarifa ya TAKUKURU ya mwaka 2018/19 katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma. Tukio hili litarushwa mubashara kupitia Vyombo vya Habari kuanzia saa 4:00 asubuhi hii.
0 notes
matokeochanya · 4 years
Text
SERIKALI YAWAKUTANISHA WAZALISHAJI WA MALIGHAFI ZINAZOTUMIKA KUTENGENEZA VITAKASA MIKONO (HAND SANITIZER).
Baadhi ya washiriki wa kikao cha wadau wa sekta ya viwanda vinavyotengeneza malighafi ya kutengeneza vitakasa mikono (Hand sanitizer)wakimsikiliza waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa,(hayupo pichani)
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa Machi 25 amefanya kikao na wamiliki na wasimamizi wa Viwanda vinavyotengeneza malighafi ya kutengeneza vitakasa mikono ( Hand…
View On WordPress
0 notes
matokeochanya · 4 years
Text
SERIKALI YAPOKEA MSAADA KUKABILIANA NA CORONA (COVID-19)
Serikali imepokea msaada wa vifaa-tiba kutoka China kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na mlipuko wa maambukizi ya homa ya mapafu inayoambukizwa na kirusi mpya aina ya Corona (COVID-19), huku ikiishukuru kwa kushiriki kudhibiti kuenea kwa ugonjwa huu.
Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Muhammed Bakari Kambi amesema msaada huo ambao umetolewa na Taasisi ya Jack Ma na Alibaba ni pamoja na mavazi (PPE)…
View On WordPress
0 notes